forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
531 B
Markdown
20 lines
531 B
Markdown
# Taarifa kwa Ujumla
|
|
|
|
Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni wanyama ambao watu walitakiwa kuwaona najisi
|
|
|
|
# hawa ndiyo walio najisi kwen
|
|
|
|
Hawa wanyama ambao Mungu amewataja kuwa hawafai kuguswa au kuliwa na watu wamezungumziwa kana kwamba walikuwa wachafu kimaumbile
|
|
|
|
# kicheche
|
|
|
|
mnyama mdogo mwenye manyoya ya kahawia anayekula ndege na wanyama wadogo.
|
|
|
|
# mijusi mikubwa, guruguru, 30kenge, mijusi ya ukutani...na kinyonga
|
|
|
|
Hizi ni aina mbali mabali za wanyama wenye damu baridi walio na miguu minne.
|
|
|
|
# goromoe
|
|
|
|
"Mjusi wa ni"
|