# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni wanyama ambao watu walitakiwa kuwaona najisi # hawa ndiyo walio najisi kwen Hawa wanyama ambao Mungu amewataja kuwa hawafai kuguswa au kuliwa na watu wamezungumziwa kana kwamba walikuwa wachafu kimaumbile # kicheche mnyama mdogo mwenye manyoya ya kahawia anayekula ndege na wanyama wadogo. # mijusi mikubwa, guruguru, 30kenge, mijusi ya ukutani...na kinyonga Hizi ni aina mbali mabali za wanyama wenye damu baridi walio na miguu minne. # goromoe "Mjusi wa ni"