sw_tn/lev/11/29.md

531 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni wanyama ambao watu walitakiwa kuwaona najisi

hawa ndiyo walio najisi kwen

Hawa wanyama ambao Mungu amewataja kuwa hawafai kuguswa au kuliwa na watu wamezungumziwa kana kwamba walikuwa wachafu kimaumbile

kicheche

mnyama mdogo mwenye manyoya ya kahawia anayekula ndege na wanyama wadogo.

mijusi mikubwa, guruguru, 30kenge, mijusi ya ukutani...na kinyonga

Hizi ni aina mbali mabali za wanyama wenye damu baridi walio na miguu minne.

goromoe

"Mjusi wa ni"