sw_tn/lev/11/13.md

8 lines
351 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni kile anachowaruhusu watu kula na kile ambacho anawakataza kula
# tai, furukombe, kipungu, mwewe mwekundu, aina yoyote ya kipanga, kila aina ya kunguru, 16kiruka-njia, kipasuasanda, Shakwe..aina yoyote ya mwewe.
Kuna ndege ambao ama hukaa macho usiku au hula panya na wanyama waliokufa.