sw_tn/lev/11/13.md

351 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni kile anachowaruhusu watu kula na kile ambacho anawakataza kula

tai, furukombe, kipungu, mwewe mwekundu, aina yoyote ya kipanga, kila aina ya kunguru, 16kiruka-njia, kipasuasanda, Shakwe..aina yoyote ya mwewe.

Kuna ndege ambao ama hukaa macho usiku au hula panya na wanyama waliokufa.