# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni kile anachowaruhusu watu kula na kile ambacho anawakataza kula # tai, furukombe, kipungu, mwewe mwekundu, aina yoyote ya kipanga, kila aina ya kunguru, 16kiruka-njia, kipasuasanda, Shakwe..aina yoyote ya mwewe. Kuna ndege ambao ama hukaa macho usiku au hula panya na wanyama waliokufa.