sw_tn/lev/11/11.md

750 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni kile anachowaruhusu watu kula na kile ambacho anawakataza kula

Kwa kuwa watakuwa chukizo

"kuchukia" ni kukitaa na kukidharamu kitu. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo" wa utendaji. : "kwa kuwa yawapasa kuwachukia hao au kwa kuwa ni lazima muwakatae kabisakabisa"

mizoga yao sharti itakuwa chukizo

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ywapasa kuichukia miili yao iliyokufa" au "msiguse miili yao iliyokufa"

Chochote kisichokuwa na mapezi au magamba kilichomo majin

"Chocote kilichomo majini kisichokuwa na mapezi na magamba"

lazima kiwe chukizo kwenu

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "lazima mvichukie" au "lazima mvikatae kabisa kabisa"