sw_tn/lev/11/11.md

20 lines
750 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni kile anachowaruhusu watu kula na kile ambacho anawakataza kula
# Kwa kuwa watakuwa chukizo
"kuchukia" ni kukitaa na kukidharamu kitu. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo" wa utendaji. : "kwa kuwa yawapasa kuwachukia hao au kwa kuwa ni lazima muwakatae kabisakabisa"
# mizoga yao sharti itakuwa chukizo
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ywapasa kuichukia miili yao iliyokufa" au "msiguse miili yao iliyokufa"
# Chochote kisichokuwa na mapezi au magamba kilichomo majin
"Chocote kilichomo majini kisichokuwa na mapezi na magamba"
# lazima kiwe chukizo kwenu
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "lazima mvichukie" au "lazima mvikatae kabisa kabisa"