# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni kile anachowaruhusu watu kula na kile ambacho anawakataza kula # Kwa kuwa watakuwa chukizo "kuchukia" ni kukitaa na kukidharamu kitu. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo" wa utendaji. : "kwa kuwa yawapasa kuwachukia hao au kwa kuwa ni lazima muwakatae kabisakabisa" # mizoga yao sharti itakuwa chukizo Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ywapasa kuichukia miili yao iliyokufa" au "msiguse miili yao iliyokufa" # Chochote kisichokuwa na mapezi au magamba kilichomo majin "Chocote kilichomo majini kisichokuwa na mapezi na magamba" # lazima kiwe chukizo kwenu Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "lazima mvichukie" au "lazima mvikatae kabisa kabisa"