sw_tn/lev/10/14.md

532 B

Kile kidari kitikiswacho na lile paja ambalo hutolewa kwa Yahweh

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kile kidali na paja ambalo mtu alilitikisa na kuipeleka kwa Yahweh"

kidari

ile sehemu ya mbele ya mwili wa mnyama chini ya shingo

paja

ile sehemu ya juu mguu juu ya goti

Wewe mwenyewe, wanao na binti zako

"Wewe" hapa humaanisha Aroni

Nazo zitakuwa zako wewe na wanao uwe mgao wenu daima

Hii ijulikane kwamba sehemu hiyo ni ya Aroni na wanawe. : "Sehemu hii daima itakuwa kwa ajili yako na wanao"