# Kile kidari kitikiswacho na lile paja ambalo hutolewa kwa Yahweh Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kile kidali na paja ambalo mtu alilitikisa na kuipeleka kwa Yahweh" # kidari ile sehemu ya mbele ya mwili wa mnyama chini ya shingo # paja ile sehemu ya juu mguu juu ya goti # Wewe mwenyewe, wanao na binti zako "Wewe" hapa humaanisha Aroni # Nazo zitakuwa zako wewe na wanao uwe mgao wenu daima Hii ijulikane kwamba sehemu hiyo ni ya Aroni na wanawe. : "Sehemu hii daima itakuwa kwa ajili yako na wanao"