sw_tn/lev/10/14.md

20 lines
532 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kile kidari kitikiswacho na lile paja ambalo hutolewa kwa Yahweh
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kile kidali na paja ambalo mtu alilitikisa na kuipeleka kwa Yahweh"
# kidari
ile sehemu ya mbele ya mwili wa mnyama chini ya shingo
# paja
ile sehemu ya juu mguu juu ya goti
# Wewe mwenyewe, wanao na binti zako
"Wewe" hapa humaanisha Aroni
# Nazo zitakuwa zako wewe na wanao uwe mgao wenu daima
Hii ijulikane kwamba sehemu hiyo ni ya Aroni na wanawe. : "Sehemu hii daima itakuwa kwa ajili yako na wanao"