sw_tn/lev/10/01.md

36 lines
792 B
Markdown

# Nadabu na Abihu
Haya ni majina ya wana wa Aroni
# kifukizo
chombo cha metali chenye kina kifupi ambacho makuhani walikitumia kubebea makaa ya moto au uvumba
# wakakaweka moto ndani yake
"akaweka makaa yaliyowaka moto ndani yake"
# wakatoa moto usiokuabalika mbele za Yahweh, moto ambao hakuwaamru wao kuutoa
"Lakini Yahweh hakuikubali sadaka yao kwa sababu haikuendana na kile ambacho aliwaamru kukitoa"
# moto usiokuabalika mbele za Yahweh
"moto usiokubalika kwa Yahweh"
# Kwa hiyo moto ukashuka chini mbele za Yahweh
"Kwa hiyo Yahweh akatuma moto"
# ukashuka chini mbele za Yahweh
"ulikuja kutoka kwa Yahweh"
# na kuwala
Moto ukiwaunguza kabisa watu unazungumziwa kana kwamba uliwala au uliwatumia kabisa.
# nao wakafa mbele za Yahweh
"walikufa katika uwepo wa Yahweh"