# Nadabu na Abihu Haya ni majina ya wana wa Aroni # kifukizo chombo cha metali chenye kina kifupi ambacho makuhani walikitumia kubebea makaa ya moto au uvumba # wakakaweka moto ndani yake "akaweka makaa yaliyowaka moto ndani yake" # wakatoa moto usiokuabalika mbele za Yahweh, moto ambao hakuwaamru wao kuutoa "Lakini Yahweh hakuikubali sadaka yao kwa sababu haikuendana na kile ambacho aliwaamru kukitoa" # moto usiokuabalika mbele za Yahweh "moto usiokubalika kwa Yahweh" # Kwa hiyo moto ukashuka chini mbele za Yahweh "Kwa hiyo Yahweh akatuma moto" # ukashuka chini mbele za Yahweh "ulikuja kutoka kwa Yahweh" # na kuwala Moto ukiwaunguza kabisa watu unazungumziwa kana kwamba uliwala au uliwatumia kabisa. # nao wakafa mbele za Yahweh "walikufa katika uwepo wa Yahweh"