sw_tn/lev/10/01.md

792 B

Nadabu na Abihu

Haya ni majina ya wana wa Aroni

kifukizo

chombo cha metali chenye kina kifupi ambacho makuhani walikitumia kubebea makaa ya moto au uvumba

wakakaweka moto ndani yake

"akaweka makaa yaliyowaka moto ndani yake"

wakatoa moto usiokuabalika mbele za Yahweh, moto ambao hakuwaamru wao kuutoa

"Lakini Yahweh hakuikubali sadaka yao kwa sababu haikuendana na kile ambacho aliwaamru kukitoa"

moto usiokuabalika mbele za Yahweh

"moto usiokubalika kwa Yahweh"

Kwa hiyo moto ukashuka chini mbele za Yahweh

"Kwa hiyo Yahweh akatuma moto"

ukashuka chini mbele za Yahweh

"ulikuja kutoka kwa Yahweh"

na kuwala

Moto ukiwaunguza kabisa watu unazungumziwa kana kwamba uliwala au uliwatumia kabisa.

nao wakafa mbele za Yahweh

"walikufa katika uwepo wa Yahweh"