sw_tn/lev/09/22.md

20 lines
633 B
Markdown

# kisha akashuka chini
Kirai "akashuka chini" kimetumika kwa sababu mahali pa madhabahu palikuwa juu zaidi ya mahali watu walipokuwa wanasimama.
# utukufu wa Yahweh ukaonekana kwa watu wote
"Utukufu" hapa huwakilisha uwepo wa Yahweh. : "Yahweh akawaonyesha watu wote utukufu wa uwepo wake"
# Moto ukashuka kutoka kwa Yahweh na ukairamba
"Yahweh alituma moto ulioiramba"
# ukairamba sadaka ya kuteketezwa
Moto ukiitekeza kabisa sadaka umezungumziwa kana kwamba moto uiitafuna au kuitumia sadaka ya kutekezwa.
# wakala wakiinamisha nyuso zao chini
"walilala wakaelekeza nyuso zao ardhini." Hii ni ishara ya heshima na adhama.