|
# Wakazichukua hizi sehemu
|
|
|
|
"wana wa Aroni walizichukua hizo sehemu"
|
|
|
|
# wakaziweka hizi
|
|
|
|
Neno "hizi" hurejelea mafuta na sehemu zilizoorodheshwa hapo awali.
|
|
|
|
# vidari
|
|
|
|
Tazama amaelezo ya sura ya 7:28
|
|
|
|
# paja la kulia
|
|
|
|
Tazama amaelezo ya suru ya 7:31
|
|
|
|
# mbele za Yahweh
|
|
|
|
"kwa Yahweh"
|