Wakazichukua hizi sehemu
"wana wa Aroni walizichukua hizo sehemu"
wakaziweka hizi
Neno "hizi" hurejelea mafuta na sehemu zilizoorodheshwa hapo awali.
vidari
Tazama amaelezo ya sura ya 7:28
paja la kulia
Tazama amaelezo ya suru ya 7:31
mbele za Yahweh
"kwa Yahweh"