# Wakazichukua hizi sehemu "wana wa Aroni walizichukua hizo sehemu" # wakaziweka hizi Neno "hizi" hurejelea mafuta na sehemu zilizoorodheshwa hapo awali. # vidari Tazama amaelezo ya sura ya 7:28 # paja la kulia Tazama amaelezo ya suru ya 7:31 # mbele za Yahweh "kwa Yahweh"