sw_tn/lev/08/28.md

608 B

Musa akaichukua

sherehe rasmi inayomfanya mtu kuwa kuhani

kutoka mikononi mwao

"Mikono" hapa huwakilisha nafsi nzima. : "kutoka kwa Aroni na wanawe"

Zilikuwa ni sadaka ya kuwekwa wakfu

"Zilikuwa sadaka za kuwatenga Aroni na wanawe kwa ajili ya huduma kwa Yahweh"

sadaka iliyofanywa kwa Yahweh kwa moto

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Sadaka ya kuteketezwa kwa Yahweh kwa moto

ilitoa harufu ya kupendeza

Tazama lilivyofasiriwa katika sura ya 1:7

kidari

Sehemu ya mbele ya mwili wa mnyama chini ya shingo

kuwekewa mikono

Sherehe rasmi inayomfanya mtu kuwa kuhani