sw_tn/lev/08/28.md

28 lines
608 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Musa akaichukua
sherehe rasmi inayomfanya mtu kuwa kuhani
# kutoka mikononi mwao
"Mikono" hapa huwakilisha nafsi nzima. : "kutoka kwa Aroni na wanawe"
# Zilikuwa ni sadaka ya kuwekwa wakfu
"Zilikuwa sadaka za kuwatenga Aroni na wanawe kwa ajili ya huduma kwa Yahweh"
# sadaka iliyofanywa kwa Yahweh kwa moto
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Sadaka ya kuteketezwa kwa Yahweh kwa moto
# ilitoa harufu ya kupendeza
Tazama lilivyofasiriwa katika sura ya 1:7
# kidari
Sehemu ya mbele ya mwili wa mnyama chini ya shingo
# kuwekewa mikono
Sherehe rasmi inayomfanya mtu kuwa kuhani