# Musa akaichukua sherehe rasmi inayomfanya mtu kuwa kuhani # kutoka mikononi mwao "Mikono" hapa huwakilisha nafsi nzima. : "kutoka kwa Aroni na wanawe" # Zilikuwa ni sadaka ya kuwekwa wakfu "Zilikuwa sadaka za kuwatenga Aroni na wanawe kwa ajili ya huduma kwa Yahweh" # sadaka iliyofanywa kwa Yahweh kwa moto Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Sadaka ya kuteketezwa kwa Yahweh kwa moto # ilitoa harufu ya kupendeza Tazama lilivyofasiriwa katika sura ya 1:7 # kidari Sehemu ya mbele ya mwili wa mnyama chini ya shingo # kuwekewa mikono Sherehe rasmi inayomfanya mtu kuwa kuhani