sw_tn/lev/08/25.md

808 B

sehemu za ndani

Tazama lilivyofasiriwa katika sura ya 1:7

ini...figo

Limefasiriwa kama ilivyofanyika katika sura ya 3:3

paja la kulia

Tazama lilivyofasiriwa katika sura ya 7:31.

kikapu cha mikate isiyo na hamira ambayoo ilikuwa mbele za Yahweh

Hii haimaanishi mahali pa kikapu cha mikate. humaanisha kwamba huu ni mkate ambao Musa amishauweka wakfu kwa Yahweh.

weka mikoni mwa Aroni na katika mikono ya wanawe

"Mikono" hapa huwakilisha nafsi nzima. : "aliitoa yote kwa Aroni na wanawe"

kuvitikisa mbele za Yahweh kuwa sadaka ya kutikiswa

Inaashiria kwamba Aroni na wanawe waliiwasilisha sadaka. Maana kamili ya tamko hili yaweza kufanywa ya kueleweka. :"Walivitikisa mbele za Yahweh kuwa sadaka ya kutikiswa"

kuitikisa

Hili ni tendo la kiishara linaloweka wakfu sadaka kwa Yahweh.