# sehemu za ndani Tazama lilivyofasiriwa katika sura ya 1:7 # ini...figo Limefasiriwa kama ilivyofanyika katika sura ya 3:3 # paja la kulia Tazama lilivyofasiriwa katika sura ya 7:31. # kikapu cha mikate isiyo na hamira ambayoo ilikuwa mbele za Yahweh Hii haimaanishi mahali pa kikapu cha mikate. humaanisha kwamba huu ni mkate ambao Musa amishauweka wakfu kwa Yahweh. # weka mikoni mwa Aroni na katika mikono ya wanawe "Mikono" hapa huwakilisha nafsi nzima. : "aliitoa yote kwa Aroni na wanawe" # kuvitikisa mbele za Yahweh kuwa sadaka ya kutikiswa Inaashiria kwamba Aroni na wanawe waliiwasilisha sadaka. Maana kamili ya tamko hili yaweza kufanywa ya kueleweka. :"Walivitikisa mbele za Yahweh kuwa sadaka ya kutikiswa" # kuitikisa Hili ni tendo la kiishara linaloweka wakfu sadaka kwa Yahweh.