sw_tn/lev/08/25.md

28 lines
808 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# sehemu za ndani
Tazama lilivyofasiriwa katika sura ya 1:7
# ini...figo
Limefasiriwa kama ilivyofanyika katika sura ya 3:3
# paja la kulia
Tazama lilivyofasiriwa katika sura ya 7:31.
# kikapu cha mikate isiyo na hamira ambayoo ilikuwa mbele za Yahweh
Hii haimaanishi mahali pa kikapu cha mikate. humaanisha kwamba huu ni mkate ambao Musa amishauweka wakfu kwa Yahweh.
# weka mikoni mwa Aroni na katika mikono ya wanawe
"Mikono" hapa huwakilisha nafsi nzima. : "aliitoa yote kwa Aroni na wanawe"
# kuvitikisa mbele za Yahweh kuwa sadaka ya kutikiswa
Inaashiria kwamba Aroni na wanawe waliiwasilisha sadaka. Maana kamili ya tamko hili yaweza kufanywa ya kueleweka. :"Walivitikisa mbele za Yahweh kuwa sadaka ya kutikiswa"
# kuitikisa
Hili ni tendo la kiishara linaloweka wakfu sadaka kwa Yahweh.