sw_tn/lev/08/06.md

424 B

na kuwaosha kwa maji

Hili ni tendo la kiishara. Ni usafishaji wa kiibada ambao huwandaa wao kuwa makuhani.

kanzu... ukumbuu...joho...kizibao...mshipi uliosokotwa kwa ustadi

mshipi uliosokotwa kwa ustadi - Haya ni mavazi ambayo Yahweh aliwaamru watu kutengeneza kwa ajili ya makuhani.

ukumbuu`

kipande cha nguo kirefu ambacho kinafungwa kuzunguka kiuno au kifua.

kukikaza mwilini mwake

"alikifunga kumzunguka"