sw_tn/lev/08/06.md

16 lines
424 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# na kuwaosha kwa maji
Hili ni tendo la kiishara. Ni usafishaji wa kiibada ambao huwandaa wao kuwa makuhani.
# kanzu... ukumbuu...joho...kizibao...mshipi uliosokotwa kwa ustadi
2021-09-10 19:21:44 +00:00
mshipi uliosokotwa kwa ustadi - Haya ni mavazi ambayo Yahweh aliwaamru watu kutengeneza kwa ajili ya makuhani.
2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ukumbuu`
kipande cha nguo kirefu ambacho kinafungwa kuzunguka kiuno au kifua.
# kukikaza mwilini mwake
"alikifunga kumzunguka"