# na kuwaosha kwa maji Hili ni tendo la kiishara. Ni usafishaji wa kiibada ambao huwandaa wao kuwa makuhani. # kanzu... ukumbuu...joho...kizibao...mshipi uliosokotwa kwa ustadi mshipi uliosokotwa kwa ustadi - Haya ni mavazi ambayo Yahweh aliwaamru watu kutengeneza kwa ajili ya makuhani. # ukumbuu` kipande cha nguo kirefu ambacho kinafungwa kuzunguka kiuno au kifua. # kukikaza mwilini mwake "alikifunga kumzunguka"