sw_tn/lev/07/15.md

301 B

Mtu anayeleta

"Mtu anayetoa"

kwa kusudi la kutoa shukrani

Ile nomino dhahania "shukurani" yaweza kutamkwa kama kitenzi. : "kwa kusudi la kumshukuru Yahweh"

lazima nyama italiwa...kinaweza kuliwa

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ni lazima aile hiyo nyama...anaweza kuila"