# Mtu anayeleta "Mtu anayetoa" # kwa kusudi la kutoa shukrani Ile nomino dhahania "shukurani" yaweza kutamkwa kama kitenzi. : "kwa kusudi la kumshukuru Yahweh" # lazima nyama italiwa...kinaweza kuliwa Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ni lazima aile hiyo nyama...anaweza kuila"