sw_tn/lev/07/15.md

12 lines
301 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtu anayeleta
"Mtu anayetoa"
# kwa kusudi la kutoa shukrani
Ile nomino dhahania "shukurani" yaweza kutamkwa kama kitenzi. : "kwa kusudi la kumshukuru Yahweh"
# lazima nyama italiwa...kinaweza kuliwa
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ni lazima aile hiyo nyama...anaweza kuila"