sw_tn/lev/07/09.md

354 B

inayookwa mekoni... ipikwayo kaangoni

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Ile ambayo mtufulani anaioka mekoni... ile ambayo mtu fulani huipika mekoni"

Meko

Tazama maelezo katika sura 2:3

Kaango

Tazama maelezo katika 2:6 ili uone neno "kaango" lilivyotafsiriwa

Sufuria

Tazama sura ya 2:4 uone neno "sufuria" lilivyofasiriwa