# inayookwa mekoni... ipikwayo kaangoni Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Ile ambayo mtufulani anaioka mekoni... ile ambayo mtu fulani huipika mekoni" # Meko Tazama maelezo katika sura 2:3 # Kaango Tazama maelezo katika 2:6 ili uone neno "kaango" lilivyotafsiriwa # Sufuria Tazama sura ya 2:4 uone neno "sufuria" lilivyofasiriwa