sw_tn/lev/06/21.md

778 B

Nayo Itatengenezwa

hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Nawe utaitengeneza"

katika kikaango

Tazama sura ya 2:4 uone lilivyofasiriwa.

Itakapokuwa imelowekwa

"Unga unapokuwa umeloana kabisa kwa mafuta"

utaileta ndani

Hapa "Nawe" humrejelea mtu anayetoa sadaka.

ili kuleta harufu ya kupendeza kwa Yahweh

Tazama maelezo katika sura ya 1:7 kwa ufafanuzi.

Kama ilivyoamriwa

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Kama vile ambayo Yahweh amekuamru"

yote itateketezwa

Hii yaweza kutakwa katika mtindo tendaji. : "yapasa aiteketeze yote"

itateketezwa yote kabisa

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Yapasa aiteketeze yote kabisa"

Haitaliwa kamwe

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Hakuna apaswaye kuila"