# Nayo Itatengenezwa hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Nawe utaitengeneza" # katika kikaango Tazama sura ya 2:4 uone lilivyofasiriwa. # Itakapokuwa imelowekwa "Unga unapokuwa umeloana kabisa kwa mafuta" # utaileta ndani Hapa "Nawe" humrejelea mtu anayetoa sadaka. # ili kuleta harufu ya kupendeza kwa Yahweh Tazama maelezo katika sura ya 1:7 kwa ufafanuzi. # Kama ilivyoamriwa Hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Kama vile ambayo Yahweh amekuamru" # yote itateketezwa Hii yaweza kutakwa katika mtindo tendaji. : "yapasa aiteketeze yote" # itateketezwa yote kabisa Hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Yapasa aiteketeze yote kabisa" # Haitaliwa kamwe Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Hakuna apaswaye kuila"