sw_tn/lev/06/21.md

36 lines
778 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nayo Itatengenezwa
hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Nawe utaitengeneza"
# katika kikaango
Tazama sura ya 2:4 uone lilivyofasiriwa.
# Itakapokuwa imelowekwa
"Unga unapokuwa umeloana kabisa kwa mafuta"
# utaileta ndani
Hapa "Nawe" humrejelea mtu anayetoa sadaka.
# ili kuleta harufu ya kupendeza kwa Yahweh
Tazama maelezo katika sura ya 1:7 kwa ufafanuzi.
# Kama ilivyoamriwa
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Kama vile ambayo Yahweh amekuamru"
# yote itateketezwa
Hii yaweza kutakwa katika mtindo tendaji. : "yapasa aiteketeze yote"
# itateketezwa yote kabisa
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Yapasa aiteketeze yote kabisa"
# Haitaliwa kamwe
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Hakuna apaswaye kuila"