sw_tn/lev/06/12.md

276 B

Huo moto ulio juu ya madhabahu utaendelea kuwaka.

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Kuhani atautunza moto ulio juu ya madhabahu ili uendelee kuwaka"

kama inavyotakiwa

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "juu yake kama Yahweh anavyotaka"