# Huo moto ulio juu ya madhabahu utaendelea kuwaka. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Kuhani atautunza moto ulio juu ya madhabahu ili uendelee kuwaka" # kama inavyotakiwa Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "juu yake kama Yahweh anavyotaka"