sw_tn/lev/06/12.md

8 lines
276 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Huo moto ulio juu ya madhabahu utaendelea kuwaka.
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Kuhani atautunza moto ulio juu ya madhabahu ili uendelee kuwaka"
# kama inavyotakiwa
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "juu yake kama Yahweh anavyotaka"