sw_tn/lev/06/10.md

16 lines
413 B
Markdown

# nguo zake za kitani,
Kitani ni nguo nyeupe. : "nguo zake nyeupe"
# Naye atayachukua hayo majivu
"Naye atayakusanya hayo majivu"
# baada ya moto kuwa umetekeza sadaka ya kuteketezwa
Moto kuteketeza kabisa sadaka umezunguzwa kana kwamba umeitafuna au kuitumia sadaka ya kutekezwa
# mpaka mahali palipo safi
Mahali panapofaa kutumika kwa makusudi ya Mungu pameongelewa kana kwamba palikuwa safi kimaumbile.