# nguo zake za kitani, Kitani ni nguo nyeupe. : "nguo zake nyeupe" # Naye atayachukua hayo majivu "Naye atayakusanya hayo majivu" # baada ya moto kuwa umetekeza sadaka ya kuteketezwa Moto kuteketeza kabisa sadaka umezunguzwa kana kwamba umeitafuna au kuitumia sadaka ya kutekezwa # mpaka mahali palipo safi Mahali panapofaa kutumika kwa makusudi ya Mungu pameongelewa kana kwamba palikuwa safi kimaumbile.