sw_tn/lev/06/10.md

413 B

nguo zake za kitani,

Kitani ni nguo nyeupe. : "nguo zake nyeupe"

Naye atayachukua hayo majivu

"Naye atayakusanya hayo majivu"

baada ya moto kuwa umetekeza sadaka ya kuteketezwa

Moto kuteketeza kabisa sadaka umezunguzwa kana kwamba umeitafuna au kuitumia sadaka ya kutekezwa

mpaka mahali palipo safi

Mahali panapofaa kutumika kwa makusudi ya Mungu pameongelewa kana kwamba palikuwa safi kimaumbile.