sw_tn/lev/06/05.md

814 B

kwa ukamilifu

"kikamilifu" au "kabisa"

kuongeza moja ya tano

Tazama lilivyotafsiriwa katika 5:15

kumlipa anayedai

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. :"kulipa mtu anayemdai"

anayopatikana na hatia

Mtu aliyeiba yapasa kuletwa mbele ya mwamuzi na kutangazwa mwanyehatia. : "sentensi hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. "hakimu anamtangaza kuwa mwenye hatia"

inayolinga na thamani ya sasa

Tazama 5:14 uone lilivyofasiriwa

Naye kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake

Ile nomino dhahania "upatanisho" yaweza kutamkwa kama kitenzi. : "kuhani atapatanisha kwa ajili yake"

mbele ya Yahweh,

katika uwepo wa Yahweh"

naye atakuwa amesamehewa

Hii humaanisha Yahweh atamsamehe mtu huyo, siyo kuhani. Hii yaweza kutafasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Mungu atamsamehe yeye"