sw_tn/lev/06/05.md

32 lines
814 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa ukamilifu
"kikamilifu" au "kabisa"
# kuongeza moja ya tano
Tazama lilivyotafsiriwa katika 5:15
# kumlipa anayedai
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. :"kulipa mtu anayemdai"
# anayopatikana na hatia
Mtu aliyeiba yapasa kuletwa mbele ya mwamuzi na kutangazwa mwanyehatia. : "sentensi hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. "hakimu anamtangaza kuwa mwenye hatia"
# inayolinga na thamani ya sasa
Tazama 5:14 uone lilivyofasiriwa
# Naye kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake
Ile nomino dhahania "upatanisho" yaweza kutamkwa kama kitenzi. : "kuhani atapatanisha kwa ajili yake"
# mbele ya Yahweh,
katika uwepo wa Yahweh"
# naye atakuwa amesamehewa
Hii humaanisha Yahweh atamsamehe mtu huyo, siyo kuhani. Hii yaweza kutafasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Mungu atamsamehe yeye"