sw_tn/lev/05/12.md

584 B

Naye atauleta

"Naye yampasa kuleta unga safi"

sadaka ya kuwakilisha

konzi kuhani chomayo juu ya madhabahu huwakakilisha matoleo yote. Hii humaanisha matoleo yote ni ya Yahweh, tazama sura ya 2:1

atafanya upatanisho

Ile nomino dhahania "upatanisho" yaweza kutamkwa kama tendo. : "atamatanisha"

juu ya madhabahu, na juu ya matoleo yafanywayo kwa Yahweh

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : " Yahweh. : "juu ya sadaka za kuteketezwa kwa Yahweh"

naye mtu huyo atakuwa amesahewa.

Hili laweza kutamkwa kama mtindo tendaji. : "Yahweh atasamehe dhambi za mtu huyo"