sw_tn/lev/05/12.md

20 lines
584 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Naye atauleta
"Naye yampasa kuleta unga safi"
# sadaka ya kuwakilisha
konzi kuhani chomayo juu ya madhabahu huwakakilisha matoleo yote. Hii humaanisha matoleo yote ni ya Yahweh, tazama sura ya 2:1
# atafanya upatanisho
Ile nomino dhahania "upatanisho" yaweza kutamkwa kama tendo. : "atamatanisha"
# juu ya madhabahu, na juu ya matoleo yafanywayo kwa Yahweh
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : " Yahweh. : "juu ya sadaka za kuteketezwa kwa Yahweh"
# naye mtu huyo atakuwa amesahewa.
Hili laweza kutamkwa kama mtindo tendaji. : "Yahweh atasamehe dhambi za mtu huyo"