# Naye atauleta "Naye yampasa kuleta unga safi" # sadaka ya kuwakilisha konzi kuhani chomayo juu ya madhabahu huwakakilisha matoleo yote. Hii humaanisha matoleo yote ni ya Yahweh, tazama sura ya 2:1 # atafanya upatanisho Ile nomino dhahania "upatanisho" yaweza kutamkwa kama tendo. : "atamatanisha" # juu ya madhabahu, na juu ya matoleo yafanywayo kwa Yahweh Hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : " Yahweh. : "juu ya sadaka za kuteketezwa kwa Yahweh" # naye mtu huyo atakuwa amesahewa. Hili laweza kutamkwa kama mtindo tendaji. : "Yahweh atasamehe dhambi za mtu huyo"