sw_tn/lev/05/10.md

12 lines
420 B
Markdown

# kama ilivyoelezwa kwenye maelekezo
Hii yaweza kutakwa katika mtindo tendaji. : "kama alivyoelekeza Yhweh"
# naye kuhani atafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi aliyotenda
Ile nomino dhahania "upatanisho" yaweza kutamkwa kama kitenzi. : "Naye kuhani atapatanisha kwa ajili ya dhambi ile ambayo ametenda
# naye huyo mtu atakuwa amesamehewa
Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Yahweh atamsamehe mtu huyo"