sw_tn/lev/05/10.md

420 B

kama ilivyoelezwa kwenye maelekezo

Hii yaweza kutakwa katika mtindo tendaji. : "kama alivyoelekeza Yhweh"

naye kuhani atafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi aliyotenda

Ile nomino dhahania "upatanisho" yaweza kutamkwa kama kitenzi. : "Naye kuhani atapatanisha kwa ajili ya dhambi ile ambayo ametenda

naye huyo mtu atakuwa amesamehewa

Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Yahweh atamsamehe mtu huyo"