# kama ilivyoelezwa kwenye maelekezo Hii yaweza kutakwa katika mtindo tendaji. : "kama alivyoelekeza Yhweh" # naye kuhani atafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi aliyotenda Ile nomino dhahania "upatanisho" yaweza kutamkwa kama kitenzi. : "Naye kuhani atapatanisha kwa ajili ya dhambi ile ambayo ametenda # naye huyo mtu atakuwa amesamehewa Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Yahweh atamsamehe mtu huyo"